Mvua iliyonyesha Jana na usiku wa kuamkia leo imesababisha maji kujaa mpaka juu ya daraja na kufanya barabara isipitike .
Sasa mnaotumia barabara ya morogoro road kupitia jangwani mnapaswa kuzunguka.Dsm
Huku niliko hakuna mafuriko,mlioko huko kwenye mafuriko tupeni updates basi.Mods anzisheni Forum ya breaking news ili tuwe tunapata matukio ya motomoto,hii mambo ya kukaa tunasubiria siku tatu mpaka mvua ziishe ndio tunaonyeshana picha za matukio haiko sawa...