Motochini hawez kuja huku mkuu...maana anaujua ukwel...Haya sasa baada ya kuwapa za uso kwenye sekta ya Hotel sasa tunaenda kwenye slums za daslama na za Arusha...
Hii ndio Daresalamaa
Tunaanzia hapo kwanza... MOTOCHINI njoo huku umeomba pambano wewe mwenyewe..
Haya sasa baada ya kuwapa za uso kwenye sekta ya Hotel sasa tunaenda kwenye slums za daslama na za Arusha...
Hii ndio Daresalamaa
Tunaanzia hapo kwanza... MOTOCHINI njoo huku umeomba pambano wewe mwenyewe..
Kwa kifupi 90% ya wakazi wa Dar es salaam ni watu wa kipato cha chini wengi wao hawana uwezo wa kuishi Dar yani wanabangaiza maisha ndo mana mtu Dar akifanikiwa kua na nyumba anajiona keshafika mbali sana nyumba zenyewe anapoenda kununua kiwanja hakuja pimwa matokeo yake nyumba zinajengwa kiholela holela kwa kubangaiza mpaka inaisha sasa unakuta mara uruke kidaraja maa mbele kuna mtaro wa maji machafu kwa kifupi Dar wengi hawana uwezo wa kuishi maeneo hayo mfano. Tandale, mabibo, manzese, mburahati, tandika, hata baadhi ya maeneo ya tabata ukitaka kujua haya sehemu hizo nyumba kibao gari haifiki mpaka mlangoni na kuukuta uzio ni nadra sana yani ukianza maisha Dar ukafanikiwa either kupanga chumba ambacho ni rahisi ukishuka kwenye barabara unayoosha mpaka kwako bila kupita kichochoro hiki na hiki basi unashukuru Mungu, nilikua sijui haya mpaka nilipoanza kutafuta sehemu ya kupanga...
Usijifanye msafi. Kuwa mstaarabuKwanza niambie hiyo picha yakwanza umeitoa wapi!?
Lingine nikuambie jiji la dar city center ni safi huwezi am in I
Kuchafu ni kule kwa walalahoi wenzangu
Pia usijari tuna #USIJIFANYEMSTAARABUKUWAMSTAARABU
Nakusubiria ukifikia miundombinu na Office
Pia Mall
Mikocheni nilisahau kuna kawe, kuna msasani yani uswahilini tupu niliwahi kukaa Kigoma mji umepangika vizuri kabisa yani..mpaka raha...ila Dar watu hali ya uchumi ni ndogo sema wanafosiUmemaliza mkuu.. Dar mji wa ajabu sana, miundombinu ovyo na kila kitu ovyo.. Kule Kariakoo na Posta kunanuka vinyesi hatari na mvua ikinyesha ndio balaa.. Sio Mikocheni sio Tandale mafuriko kila mahali.. Mi sijui hawa jamaa huwa wanaishije aisee
Kigoma imepangika vizuri mbona hamuendi kuishi huko?Mikocheni nilisahau kuna kawe, kuna msasani yani uswahilini tupu niliwahi kukaa Kigoma mji umepangika vizuri kabisa yani..mpaka raha...ila Dar watu hali ya uchumi ni ndogo sema wanafosi
Mikocheni nilisahau kuna kawe, kuna msasani yani uswahilini tupu niliwahi kukaa Kigoma mji umepangika vizuri kabisa yani..mpaka raha...ila Dar watu hali ya uchumi ni ndogo sema wanafosi