Leo nimelejea toka dar nilikuwa dar kwa s toka jpili.
Kuanzia nilipo wasili airport tax niliochukua driver ni UKAWA stories tu.
Nikiwa mitaa ya dar karibu watu wengi nilio wadadisi wapo team Lowassa yaan ni shamra shamra mabendera kila sehem ata sisi uku arusha ndo waanzilishi wa mabadiliko hatuwafikii.
Nikiwa dar nilikodi tax tofauti tofauti kama 6 kwa wakati tofauti madriver wote wanasema ni Lowassa wao wamechoka maisha ya uongo.
Kweli Dar sasa mpo tayari nawapongeza sana.