DAR: Madereva 50 wafikishwa Mahakamani kwa kutumia barabara za mwendokasi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
13325520_985736931523982_324684412429895246_n.png

Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imewafikisha mahakamani madereva 50 wa vyombo vya moto wakiwemo wa pikipiki na magari kwa kwa kutumia barabara za mabasi ya mwendo kasi, hasa katika wilaya za Ilala na Kinondoni.
 
Hongereni wakazi wa Temeke kwa kutii sheria bila shuruti siwaoni kwenye huo uhalifu wa kuingilia barabara za mwendo kasi kwenye maeneo yenu
 
Kiongozi wilaya ya Temeke kwa sasa haina miundombinu hiyo.
 
Hongereni wakazi wa Temeke kwa kutii sheria bila shuruti siwaoni kwenye huo uhalifu wa kuingilia barabara za mwendo kasi kwenye maeneo yenu
Temeke hawana barabara hata moja ya mwendokasi, kama ingekuwepo basi wao wangeongoza
 
!!!!!????? Mkuu, Temeke haina barabara za mwendo kasi.
 
Hapo naona lori la mwendokasi, suzuki ya mwendokasi, tata la mwendokasi,hilux ya mwendokasi, coaster ya mwendokasi, sijui ata wamekosa nini.hahahahahahahah
 
Hongereni wakazi wa Temeke kwa kutii sheria bila shuruti siwaoni kwenye huo uhalifu wa kuingilia barabara za mwendo kasi kwenye maeneo yenu
Mkuu, acha kejeli hizo. Unajua vyema Temeke hakuna mwendokasi.
 
Asante kwa taarifa mkuu nilifikiri zimejengwa wilaya zote za Dar es salaaam ikiwemo Temeke
Ahaaa, Mkuu sasa unakuwaje tena au kuna mtu anatumia account yako, wewe si unakaa Kimara na unafahamu kuwa barabara ya mwondokasi ni hiyo tu iliyosambamba na Morogoro road na inashia Kariakoo na Kivukoni, aidha, wewe si ni miongoni mwa watu waliokamatwa pale Magomeni tarehe 25 Mei, 2016 kwa kuendesha gari kwenye hiyo barabara ??? !!!
 
Temeke hawana barabara hata moja ya mwendokasi, kama ingekuwepo basi wao wangeongoza

Mbunge wa Temeke ingebidi aulize lini barabara ya mwendo kasi itajengwa Temeke wakati wilaya zote ipo.Lakini kwa kuwa mbunge mwenyewe ni wa UKAWA maswali anayokuwa nayo ni yanayohusu LUGUMI,Bunge kuonyweshwa LIVE,Hoja ya kutokuwa na imani na naibu spika na ujinga mwingineo KAMA VILE KUSUSA BUNGE NK

Poleni watu wa Temeke kwa kuwa na mbunge wa UKAWA ambaye hawezi beba hoja za shida zenu anasubiri za kuokoteza ambazo haziwahusu kabisa.
 
View attachment 354365

Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imewafikisha mahakamani madereva 50 wa vyombo vya moto wakiwemo wa pikipiki na magari kwa kwa kutumia barabara za mabasi ya mwendo kasi, hasa katika wilaya za Ilala na Kinondoni.
Kwani kuna barabara za mwendo kasi wilaya ya temeke au kigamboni?!
 
Hongereni wakazi wa Temeke kwa kutii sheria bila shuruti siwaoni kwenye huo uhalifu wa kuingilia barabara za mwendo kasi kwenye maeneo yenu

Yawezekana ndiyo hao wameenda kuingia chaka Kinondoni
 
Back
Top Bottom