Dar Kuna Vituo Vingapi vya Zimamoto?

Princemwalejr

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2017
Posts
496
Reaction score
492
Labda ni ushamba wangu. Mimi najua kituo kimoja tu cha pale faya Kariakoo.
 
hayo magari ni yao au picha tu umeweka kusindikiza uzi?
 
Swali zuri sana, ila wahusika wako busy na Dodoma, kukarabati nyumba kwa 1.5 bilioni!
Hii ndio Tanzania yetu..Ya muhimu hapana, pa kuishi wao, no expenses wili be spared?!
Miafrika kazi ipo...
 
Na mikoani je kila mkoa una vituo vingapi? Tunajikumbusha tu. Maswali ya aina hii hata bungeni hatuyasikii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…