Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Kuhamia Dodoma kuna faida ya uongozi wa serikali kujiona kuwa wanalo jukumu la kuitazama nchi nzima kwa mapana yake na sio kuishia kuishi maisha ya ufahari yaliyozoeleka hapa Dar.
Tanzania inayo mikoa mingi ambayo bado haijafunguka katika suala la uwekezaji. Pia ni gharama ndogo sana kwa watu kutoka kona ya nchi kama kule Rukwa, Mtwara na Kagera, kuweza kufika Dodoma na kupata huduma za kiserikali uliko kufunga safari ndefu ya kulitafuta jiji la Dar.
Dodoma panafikika kiurahisi zaidi kulinganisha na Dar. Halafu keki ya taifa ni lazima iwafikie wengi kwa maana ya mtawanyiko wa rasilimali unaotenda haki kwa kila anayejivunia kuitwa mtanzania.
Mbona hao wafanyakaZi Wa serikali wanatembelea rimu awamu hii!!Inabidi watengeneze branch lingne dodoma kutafuta wateja waliohama dar
Nyinyi ndio wale wale tu ambao kitu kinachoitwa mazoea kinawasumbua fikra zenu. Egovernment unayoiongelea wewe bado ina safari ndefu kuliko unavyoifahamu. Huwezi kukwepa movement ya watu kuelekea yalipo makao makuu ya nchi. Usijitizame kibinafsi kwa sababu umeshazoea kula bata Dar, mtazame mtu anayeishi kwenye kona ya nchi jinsi anavyolazimika kusafiri kuja Dar. Au kama wewe ni mwenyeji wa mikoa ya mipakani, jaribu kupiga picha gharama za kwenda kwenu na kurudi. Jitahidi uondokane na mawazo ya kwamba Tanzania ni Dar na Dar ni Tanzania, jivue huo utando wa kichwani kwa faida ya kuwa mtu anayepokea mawazo chanya ambayo ni mapya, kila kukicha.Seriously Cake ya Taifa inawafikia wengi kwa kukaa kati kati ya Taifa, you must be kidding right?
Karne hii ya Teknolojia nani bado anawaza Wananchi wake kutembea umbali mrefu kufuata huduma, hivi unajua kune kitu kinaitwa Egoverment, mtu akiwa Lindi anahudumiwa kama yuko Dar. Tuboreshe miundo mbinu sio kuhama
Nyinyi ndio wale wale tu ambao kitu kinachoitwa mazoea kinawasumbua fikra zenu. Egovernment unayoiongelea wewe bado ina safari ndefu kuliko unavyoifahamu. Huwezi kukwepa movement ya watu kuelekea yalipo makao makuu ya nchi. Usijitizame kibinafsi kwa sababu umeshazoea kula bata Dar, mtazame mtu anayeishi kwenye kona ya nchi jinsi anavyolazimika kusafiri kuja Dar. Au kama wewe ni mwenyeji wa mikoa ya mipakani, jaribu kupiga picha gharama za kwenda kwenu na kurudi. Jitahidi uondokane na mawazo ya kwamba Tanzania ni Dar na Dar ni Tanzania, jivue huo utando wa kichwani kwa faida ya kuwa mtu anayepokea mawazo chanya ambayo ni mapya, kila kukicha.
HAYO ULIOANDIKA NI FAIDA TUPU SI ATHARIBiashara:
Nyumba nyingi Masaki, Osterbay zimepangwa na watumishi waserikali pale Serikali itakapo ondoka na watumishi nyumba zitapungua kodi na masaki itapungua thamani na ulizi utapungua.
Hotel nyingi zitadorora kama zinavyodorora sasa watumishi wengi washazoea kupiga na kufanya party hotel. Sasa uko wanakoelekea hela ipo kwenye mzunguko mdogo maana hapa kazi hii sera inahitaji kuwa makini na majukumu uliyopangiwa.
Magari yatapungua sana hapa mjini na kelele za ving'ora zitapungua
Soko la wasichana;
Kwa wale wanaopenda slope kwa mtumishi anakupa lift au ela ujue imekula Kwako jipange sasa.
Karibu ndugu ulichoona kwenye uchumi wa Dar utakuaje /effect of gvt after go Dodoma Chamwino.
Labda Rukwa kwa Dar ni Shida. Ukiwasha gari lako Dodoma, na mwenzako akawasha la Kwake Lindi, munafika muda sawa sawa. Kwani zote ni Kilometa 460 hivi. Na ukiwasha Mtwara zitaongezeka Dakika 40 tu kwa yule aliyeanzia Dodoma.Kuhamia Dodoma kuna faida ya uongozi wa serikali kujiona kuwa wanalo jukumu la kuitazama nchi nzima kwa mapana yake na sio kuishia kuishi maisha ya ufahari yaliyozoeleka hapa Dar.
Tanzania inayo mikoa mingi ambayo bado haijafunguka katika suala la uwekezaji. Pia ni gharama ndogo sana kwa watu kutoka kona ya nchi kama kule Rukwa, Mtwara na Kagera, kuweza kufika Dodoma na kupata huduma za kiserikali kuliko kufunga safari ndefu ya kulitafuta jiji la Dar.
Dodoma panafikika kiurahisi zaidi kulinganisha na Dar. Halafu keki ya taifa ni lazima iwafikie wengi kwa maana ya mtawanyiko wa rasilimali unaotenda haki kwa kila anayejivunia kuitwa mtanzania.
Mnahama na majungu yenuDar majungu mengi bora ahamie dom tu, yaani dar itakuwa mji mkongwe kama ujiji, dodoma tunajenga na ikulu mpya tunaachana na ile ya mkoloni,
Wapiga kura za hasira haooo wanakuja kubadili upepoDar walianza kuikataa ccm na kuamua kuchagua ukawa, ccm kwa visasa uta waweza wameamua kuelekea Dodoma waliko chaguliwa majimbo yote wakakae na wawapendao.
Kwani kuna tatizo?Makao makuu ya China ni Beijing but still Shangai na sehemu nyingine zinatesa.
Unaongeleaje Dubai wakati makao makuu ya serikali yapo Abudhabi..
So still Dar itabaki kuwa business city na kioo cha Tz
Shauri yenu mnao dhani huyu ndugu ana nia thabiti ya kuiletea maendeleo Nchi hii. Nilipo ona anapanga kujenga uwanja chato nikajua tumeingia chaka kumchagua MTU huyu...Magufuli alitakiwa awe na vipaumbele vichache vyenye multiplier effect ktk uchumi wa nchi.
..kuhamia Dodoma na kujenga uwanja wa ndege Chato siyo vipaumbele sasa hivi.