ubungo president
Member
- Dec 10, 2015
- 78
- 20
Biashara:
Nyumba nyingi Masaki, Osterbay zimepangwa na watumishi waserikali pale Serikali itakapo ondoka na watumishi nyumba zitapungua kodi na masaki itapungua thamani na ulizi utapungua.
Hotel nyingi zitadorora kama zinavyodorora sasa watumishi wengi washazoea kupiga na kufanya party hotel. Sasa uko wanakoelekea hela ipo kwenye mzunguko mdogo maana hapa kazi hii sera inahitaji kuwa makini na majukumu uliyopangiwa.
Magari yatapungua sana hapa mjini na kelele za ving'ora zitapungua
Soko la wasichana;
Kwa wale wanaopenda slope kwa mtumishi anakupa lift au ela ujue imekula Kwako jipange sasa.
Karibu ndugu ulichoona kwenye uchumi wa Dar utakuaje /effect of gvt after go Dodoma Chamwino.
After go Dodoma! Dah jukwaa limevamiwa!!! Wengine kaeni hukohuko Facebook na Instagram.Mlimani City may wateja watapungua na kwenyewe!
Biashara:
Nyumba nyingi Masaki, Osterbay zimepangwa na watumishi waserikali pale Serikali itakapo ondoka na watumishi nyumba zitapungua kodi na masaki itapungua thamani na ulizi utapungua.
Hotel nyingi zitadorora kama zinavyodorora sasa watumishi wengi washazoea kupiga na kufanya party hotel. Sasa uko wanakoelekea hela ipo kwenye mzunguko mdogo maana hapa kazi hii sera inahitaji kuwa makini na majukumu uliyopangiwa.
Magari yatapungua sana hapa mjini na kelele za ving'ora zitapungua
Soko la wasichana;
Kwa wale wanaopenda slope kwa mtumishi anakupa lift au ela ujue imekula Kwako jipange sasa.
Karibu ndugu ulichoona kwenye uchumi wa Dar utakuaje /effect of gvt after go Dodoma Chamwino.
Kwani Dar hakuna shida ya maji ?kusema Dar es salaam ita dorola sio kweli ila kwenda dodoma! Mji ule niujuavyo unashida ya Maji sana sina hakika kama Serikali imesha fanya maandalizi ya kutosha hasa katika kuboresha miundombinu mbalimbali kwajili ya kuwapokea maelfu ya Watu
wewe ndie umevamia hebu jiangalie mimi na wewe nani alianza kuijua jamiiforums.After go Dodoma! Dah jukwaa limevamiwa!!! Wengine kaeni hukohuko Facebook na Instagram.
mmesahau kwamba makao makuu ya ikulu ya marekani mwanzoni yalikua New York lakini baadae wakahamishia Washington DC, ila mpaka leo hakuna jiji linalopendwa na watu kama New York, pale ndo kuna mpunga, wajanja, biznes nyingi na mzunguko mkubwa wa pesa na limekua ni jiji la kitalii.. Nadhani itakua the same kwa Dar es salaam baada ya serikali ya mabepali kuhamia Dodoma.
hii mipango ni ya kitambo sana, serikali haijakurupuka.. kuna mipango mingi mno ya mda mrefu (Long term plans) ambayo hatuijui, tunavyopiga kelele hivi wanatuchora tu.
..jarida la The East African wamesema gharama za kuhamia Dodoma ni usd 500++ million ktk kipindi cha miaka 5.
..sasa tunapaswa kujiuliza kama ni busara kutumia fedha hizo kuhamia Dodoma au tuzielekeze kutatua kero mbalimbali.
..majuzi tulipokea msaadas wa usd 407++ million toka Us-Aid over five yrs. Fedha hizo ni kwa ajili ya miradi mbalimbali ya kijamii.
..sasa kumbe tuna upungufu wa fedha hata kwa mambo ya msingi kama afya, sasa kwanini tunajitumbukiza ktk matumizi yasiyo ya lazima kama kuhamisha mji mkuu?
Cc Bukyanagandi, The Boss, MsemajiUkweli, Mag3
sio kwamba ni mpango ulipamgwa miaka kadhaa ilopita mkuu hivyo anachofanya uncle magu ni kuutekeleza tuDar walianza kuikataa ccm na kuamua kuchagua ukawa, ccm kwa visasa uta waweza wameamua kuelekea Dodoma waliko chaguliwa majimbo yote wakakae na wawapendao.
Kiongozi hapo ndo huwa nachoka na hizi Siasa za Tanzania, naunga mkono hoja pesa kupelekwa kwenye mambo ya msingi kama vile
1. Afya
2. Elimu
3. Kilimo
4. Miundo mbinu
5. Ujasiriamali iwe mikopo au vifaa/zana