Aron Mosha
Member
- Sep 22, 2010
- 11
- 0
- Thread starter
-
- #21
Very true!, I likua utapeli wameenda kulowa madirishani sasa wanavamia kwanguvu kesho itakuwaje, haijulikani.Kwani hujui vyombo vya usalama vipo kwa ajili ya kulinda usalama wa "ruling elites" ?, Vibaka ni zao la watawala kuangalia masilahi yao zaidi na kuacha kugundua kua suala la ongezeko la vijana wasio na ajira ni threat for national security, wao wana-focus on manipulating elections to remain in power.Huwezi kuwa na amani katika nchi ambayo majority hawana uhakika wa kipato na kumudu maisha yao, ujue ni lazima nature itafanya kazi yake, kunyang'anyana kidogo kilichoshikwa na wachache walio vulnerable. Jitahidi utafute silaha ya moto ujilinde, Police are no more for probono, they are a bunch of thieves with authority to kill and paint you as "Jambazi", Tanzania sasa tumeingia kwenye sheria za porini "law of the jungle: the struggle for existence and the survival of the fittest." Kama huna nguvu utaliwa tu.
Kwani hujui vyombo vya usalama vipo kwa ajili ya kulinda usalama wa "ruling elites" ?, Vibaka ni zao la watawala kuangalia masilahi yao zaidi na kuacha kugundua kua suala la ongezeko la vijana wasio na ajira ni threat for national security, wao wana-focus on manipulating elections to remain in power.
Huwezi kuwa na amani katika nchi ambayo majority hawana uhakika wa kipato na kumudu maisha yao, ujue ni lazima nature itafanya kazi yake, kunyang'anyana kidogo kilichoshikwa na wachache walio vulnerable. Jitahidi utafute silaha ya moto ujilinde, Police are no more for probono, they are a bunch of thieves with authority to kill and paint you as "Jambazi", Tanzania sasa tumeingia kwenye sheria za porini "law of the jungle: the struggle for existence and the survival of the fittest." Kama huna nguvu utaliwa tu.
Yes huu ndiyo ukweli na wanaongezeka maana maisha yanazidi kuwa magumu .Mbaya zaidi ni kwamba vibaka wa sasa wote hata kuandika na kusoma hawajui maana wametokea shule za msingi za kukaa chini na hakuna mwalimu .Hawajui lolote hata neno huruma kwao ni msamiati .Nimeipenda hii .Si Dar pekee hawa wako kila mjini mkubwa wa mkoa na wilaya wako .Au big centers penye movements za kutafuta maisha wapo na wanawadhuru mno watanzania wema .
Yes huu ndiyo ukweli na wanaongezeka maana maisha yanazidi kuwa magumu .Mbaya zaidi ni kwamba vibaka wa sasa wote hata kuandika na kusoma hawajui maana wametokea shule za msingi za kukaa chini na hakuna mwalimu .Hawajui lolote hata neno huruma kwao ni msamiati .Nimeipenda hii .Si Dar pekee hawa wako kila mjini mkubwa wa mkoa na wilaya wako .Au big centers penye movements za kutafuta maisha wapo na wanawadhuru mno watanzania wema .
jaman mbon bodaboda wanasaidia usafiri tu
silaha sio lazima iwe bunduki, hata panga linatosha.Kumiliki silaha tayari si maskini huyo labda kama anaimiliki kwa njia zisizo halali
Hiyo mbona chamtoto! Mambo ndio yanaanza na mtatekwa tekwa sana hadi pale pengo (ombwe) kati ya matajiri na masikini mtakapolipunguzwaVibaka wametake over vyombo vya usalama viko kimya, it just danger! Watu wanatekwa tekwa 2.
Dawa ni nchi nzima kuwa vibaka, halafu tuone nani atamwibia naniTuende Wapi? Au Magogoni?
pengo halitazibika kwa maskini kugawana umaskini bali tajiri kugawana na maskini, wezi kuteka wanafunzi it will take 4rever to cover the gapHiyo mbona chamtoto! Mambo ndio yanaanza na mtatekwa tekwa sana hadi pale pengo (ombwe) kati ya matajiri na masikini mtakapolipunguzwa