Dar is not safe!

Dar is not safe!

Aron Mosha

Member
Joined
Sep 22, 2010
Posts
11
Reaction score
0
Vibaka wametake over vyombo vya usalama viko kimya, it just danger! Watu wanatekwa tekwa 2.
 
Kwani hujui vyombo vya usalama vipo kwa ajili ya kulinda usalama wa "ruling elites" ?, Vibaka ni zao la watawala kuangalia masilahi yao zaidi na kuacha kugundua kua suala la ongezeko la vijana wasio na ajira ni threat for national security, wao wana-focus on manipulating elections to remain in power.

Huwezi kuwa na amani katika nchi ambayo majority hawana uhakika wa kipato na kumudu maisha yao, ujue ni lazima nature itafanya kazi yake, kunyang'anyana kidogo kilichoshikwa na wachache walio vulnerable. Jitahidi utafute silaha ya moto ujilinde, Police are no more for probono, they are a bunch of thieves with authority to kill and paint you as "Jambazi", Tanzania sasa tumeingia kwenye sheria za porini "law of the jungle: the struggle for existence and the survival of the fittest." Kama huna nguvu utaliwa tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Vibaka wametake over vyombo vya usalama viko kimya, it just danger! Watu wanatekwa tekwa 2.
Hao wanaojifanya vyombo vya usalama ndio vibaka wenyewe, unategemea nini katika mazingira kama hayo!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Serikali nayo haipo safe Majizi mafisadi na manyang'anyi jamejaa.. bora kuwa na vibaka wadogo kuliko wakubwa!
 
Jamani ni wajibu wote sote kulinda usalama wa taifa letu.ww ukiona kuna hali ya kutishia usalamu chukua hatua.
Vibaka wametake over vyombo vya usalama viko kimya, it just danger! Watu wanatekwa tekwa 2.
 
Hoya wazee tuheshimu kazi za watu.kuendesha boda x 2 haimanishi kuwa kibaka.hizo ndo ajira za bongo au ww mtoto wamafisadi hujui tatizo la ajira?
vibaka wengi ni waendesha boda boda
 
Kuna wizi umezuka wizi wanakuwa na pikipiki wanaingia madukani na bastola
 
Ni sahihi kabisa amani haipo kwa jamii ya gap kwabwa kati ya walionazo na wasiokuwa nazo hasa kama majority are poor,lakini kumiliki silaha kila mmoja wetu kwa kigezo cha kujihami si njia ya kukutatua wingi wa vibaka mijini,chakufana tuchukue hatua kwa vitendo kwa wote wanaotafuta utajiri kwa njia ya mkato(mafisadi,wezi na vibaka) bila kujali nyazifa na madaraka yao.
Kwani hujui vyombo vya usalama vipo kwa ajili ya kulinda usalama wa "ruling elites" ?, Vibaka ni zao la watawala kuangalia masilahi yao zaidi na kuacha kugundua kua suala la ongezeko la vijana wasio na ajira ni threat for national security, wao wana-focus on manipulating elections to remain in power.Huwezi kuwa na amani katika nchi ambayo majority hawana uhakika wa kipato na kumudu maisha yao, ujue ni lazima nature itafanya kazi yake, kunyang'anyana kidogo kilichoshikwa na wachache walio vulnerable. Jitahidi utafute silaha ya moto ujilinde, Police are no more for probono, they are a bunch of thieves with authority to kill and paint you as "Jambazi", Tanzania sasa tumeingia kwenye sheria za porini "law of the jungle: the struggle for existence and the survival of the fittest." Kama huna nguvu utaliwa tu.
 
Hoya wazee tuheshimu kazi za watu.kuendesha boda x 2 haimanishi kuwa kibaka.hizo ndo ajira za bongo au ww mtoto wamafisadi hujui tatizo la ajira?
sasa nani asiyeheshimu kazi za wenzake? tunapiga kelele ccm wote wezi kwani kwani ni kweli wote wezi au wachache wanawaharibia wengi? hata kova kashasema mara nyingi kuwa vibaka dar ni waendesha bodaboda, kama unabisha tembea na mamsapu wako abebe handbag yake mkononi kutoka shekilango hadi madukani uone habari yake
 
Ni sahihi kabisa amani haipo kwa jamii ya gap kwabwa kati ya walionazo na wasiokuwa nazo hasa kama majority are poor,lakini kumiliki silaha kila mmoja wetu kwa kigezo cha kujihami si njia ya kukutatua wingi wa vibaka mijini,chakufana tuchukue hatua kwa vitendo kwa wote wanaotafuta utajiri kwa njia ya mkato(mafisadi,wezi na vibaka) bila kujali nyazifa na madaraka yao.

Mkuu umenisoma vizuri?, mbona hakuna sehemu niliyoweka statement kama hii?, Umiliki wa silaha si una taratibu zake?, sasa kuna ubaya gani kwa mtu kutafuta silaha kwa utaratibu huo ili kujilinda?. Sijasema kabisa kuwa kila mmoja wetu amiliki silaha la, ila nikuwa ninamshauri mtoa mada kama individual. Kama wewe unamiliki rasilimali zako ulizopata kihalali kwa jasho lako na upo vulnerable kugawana na vijana wasio na ajira basi una haki ya kujilinda na kuwajulisha kuwa kama watatumia nguvu kufuata mgao wao kwako basi haitakuwa rahisi kwao, kazi ambayo ingefanywa na serikali kupitia polisi na kuweka sera za kupunguza mawazo ya udokozi kwa kukuza ajira nchini.
 
Kumiliki silaha tayari si maskini huyo labda kama anaimiliki kwa njia zisizo halali
 
Kwani hujui vyombo vya usalama vipo kwa ajili ya kulinda usalama wa "ruling elites" ?, Vibaka ni zao la watawala kuangalia masilahi yao zaidi na kuacha kugundua kua suala la ongezeko la vijana wasio na ajira ni threat for national security, wao wana-focus on manipulating elections to remain in power.

Huwezi kuwa na amani katika nchi ambayo majority hawana uhakika wa kipato na kumudu maisha yao, ujue ni lazima nature itafanya kazi yake, kunyang'anyana kidogo kilichoshikwa na wachache walio vulnerable. Jitahidi utafute silaha ya moto ujilinde, Police are no more for probono, they are a bunch of thieves with authority to kill and paint you as "Jambazi", Tanzania sasa tumeingia kwenye sheria za porini "law of the jungle: the struggle for existence and the survival of the fittest." Kama huna nguvu utaliwa tu.

Sasa ule usemi kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani na upole kuliko nchi yoyote barani Afrika umeishia wapi? This bomb is ticking soon itakuwa chaos hapa mjini. Eee Mungu tunusuru
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom