Dar in Ebola danger zone

Tunamwomba sana Mungu atuepushie mbali na huu ugonjwa wa Ebola ukija dar watu watakufa wengi sana
 
Si mnapewa chanjo sasa hivi, basi tulieni mtasikia majibu sio mda. Ndio hapo mtashangaa hao popo waliokuwepo miaka yote wameanzeje kuleta mlipuko wa EBOLA ghafla hivyo. Tulieni tu, habari yake inakuja.
 
Ni kweli, lakini la zaidi ni kwamba tusiruhusu wazungu waje watupe kinga....kwani wakitoa tu kinga zao wakiondoka ndipo ugonjwa utakapoingia nchini.....tusipo waruhusu watafiti wakizungu, tutakuwa tumeepukana na huu ugonjwa
Hii chanjo ya Rubella mnayopewa utafiti kafanya nani na chanjo mnaletewa na nani?
 
kama nimekuelewa basi mtazamo wako na sawa na ule wa chris brown...ambao ulimuweka ktk wakati mgumu sana japo ndio ukweli wenyewe huo.

Unajua mkuu haya majamaa ni majinga sana

Ebola ilikuwepo hapo Congo DRC ambako ni karibu sana na hapa kwetu na haikuja huku
Ikapatikana tena hapo Uganda na haikuja huku
Leo ipatikane huko mbali ki asi hicho halafu eti t uwe kwenye hatari ya kupata ugonjwa huu hapa kwetu,hii inaingia akilini kweli?
 
Ni kweli, lakini la zaidi ni kwamba tusiruhusu wazungu waje watupe kinga....kwani wakitoa tu kinga zao wakiondoka ndipo ugonjwa utakapoingia nchini.....tusipo waruhusu watafiti wakizungu, tutakuwa tumeepukana na huu ugonjwa

Kule Nigeria waliwahi kuikataa chanjo ya polio na baada ya muda mfupi ulilipuka ugon jwa huo kwa kasi ya kutisha na ilibidi waombe msaada kutoka kwa wale wale ambao waliwafukuza kwa madai kuwa chanjo hiyo n dio inasababisha polio

Ninachotaka kukueleza hapa ni kuwa,kwa mazingira ambayo yapo hapa duniani kwasasa kuwakatalia hawa manyang'au jambo ni ngumu sana kwani tumejiweka kwenye mtego wa kutisha sana

Kama unataka tufe wote kwa ebola ngoja waje na chanjo halafu tujidai kuwakatalia halafu uone .....!!
 
Unyanyapaa au "karantini" ndio kinga ya magonjwa ya kuambukiza. Maana hata torati ya Musa iliagiza kuwatenga weye ukoma zamani za Old Testament.
 
hakuna chochote, wewe mtutsi baada ya kupigwa M23 ukaanzisha hii ID ukijifanya Mkenya, kazi yako kupost vitu negative dhidi ya Tanzania, au kuanzisha mada za kulinganisha kenya na Tanzania ili mradi tu uiponde TZ. You are just a coward tutsi-extremist. Bongo iko pale pale na itazidi kuwatesa tu.
 
Yote haya mambo ya single tourist viza tu,huyo mwandishi kwanini anaingiza Kenya na Rwanda kwenye habari ituhusiyo sisi.Kweli tupo kwenye hiyo hatari ya ebola hiko kitu hakipingiki ila mwandishi alikuwa na yake mengine.
 
umeona? yani jamaa hawa kila kitu lazima kiwe competition.
 
Hahahaha!!! karibu nife kwa kicheko, inaonekana umempa jMali na interharamwe wenzie za uso kule, sasa amekuja kuchokonoa huku. Usimuache mkuu, ziba kila sehemu anayoibukia.
 
Tz na Liberia si mbali sana kama ilivo Marekani na huku kwetu,....I wonder imefikaje Marekani :coffee:
 
unajiita mwenyewe? duh!
 
Tz na Liberia si mbali sana kama ilivo Marekani na huku kwetu,....I wonder imefikaje Marekani :coffee:

Umesikia imesambaa kama huko Liberia?

Halafu hujui hata ilivyofika huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…