Wivu unakusumbua dar kiboko ya nai.....more of that hoodslang I can't comrehend. Sheng kiboko yao! Kama kinampita sikioni basi huyu jamaa ni mtalii tu na hawezi kamwe kujiita mkazi wa jiji la Nairobi. Ama ni jeiyaz mamorio nguyaz?
Much much more better nowJANUARY 10, 2015 ~ LYLAC
Huyo ni mkenya sio mtanzania. Tulia sindano ikuingieKha! huyo haijui Dar vizuri, hivi anajua kuna Watanzania ukiwatuma Dar kikazi wanaona kama adhabu na wanatamani wamalize fasta na kugeuza. Mji wenyewe joto na mifoleni unatamani utelekeze gari barabarani, lakini hata hii Nairobi nataka kuihama, bado nawaza mji wa kuhamia hapa Kenya, uliotulia bila mikimbio ya kila siku.
Dar kama kazi yako haihusu mizunguko ya mjini inakua nafuu, kwanza kama unayo ofisi maeneo ya nje nje kama Tegeta au hata Kigamboni
Eti Wivu? Naona wivu kwasababu ya Dar, kivipi? Kuna mambo ya kubishana bana, nimefika Dar mara kadhaa, ila sijakuwa na mazoea kiasi cha kuwa na dhana flani kuhusu mji wenu. Joto kama la Mombasa, na yale mandhari ya kawaida kwenye miji iliyo ufukweni, hayo yapo wazi. Nairobi ni mji wa aina nyingine. Hayo kando mji wenyewe tena ni 'mji na nusu'! Naona mzungu mwenyewe ametaja kuhusu Nairobi na 'coolest joints, pubs, discos and strip clubs, pia cool and calm weather and fast paced life'. You get the idea, Nairobi never sleeps. I love Nairobi!Wivu unakusumbua dar kiboko ya nai
Huyo ni mkenya sio mtanzania. Tulia sindano ikuingie
Maisha ya jiji hua yanapurukushani sana, Dar joto na foleni ndio mwiba sina experience na Nai, Ila kama hukai mbali na ofisini kwako basi raha utaipata...
Vyakula vingi vitamu muda wote vyapatikana..starehe zipo mob...Dar tamu sana nikipata likizo nawaza nije Nai one time nadhan kuna baridi flan kama Arusha na nyama choma zakutosha haha
Haha ni kweli ntajipanga nifike...tuko pamojaJinsi huwa unacomment kuhusu Kenya, kumbe hujapafika Nai
Anyway welcome, waulize mabwenyenye wenye hela zao Arusha maana wengi huja Nairobi kula bata na kugeuza, kuna kabaridi fulani hivi kama Arusha, lakini sio kama kule Ngorongoro ambako niliganda noma noma kwa baridi.
Anyway hapo umenena nilichokua nakisema kwamba raha ya Dar huwa pale kama kazi yako haihusu mizunguko ya mjini, kwamba ukitoka kwenda kazini ni hatua chache na itakuchukua kama dakika kumi, na pia vile vile wakati wa jioni ukirudi nyumbani.
Lakini kama unategemea kila siku utoke Ngongo la Mboto uje Posta na kugeuza kila jioni ndio utakoma.
Eti Wivu? Naona wivu kwasababu ya Dar, kivipi? Kuna mambo ya kubishana bana, nimefika Dar mara kadhaa, ila sijakuwa na mazoea kiasi cha kuwa na dhana flani kuhusu mji wenu. Joto kama la Mombasa, na yale mandhari ya kawaida kwenye miji iliyo ufukweni, hayo yapo wazi. Nairobi ni mji wa aina nyingine. Hayo kando mji wenyewe tena ni 'mji na nusu'! Naona mzungu mwenyewe ametaja kuhusu Nairobi na 'coolest joints, pubs, discos and strip clubs, pia cool and calm weather and fast paced life'. You get the idea, Nairobi never sleeps. I love Nairobi!
Ombeni tz iwekewe vikwazo vya kiuchumi ndiyo itakuwa salama yenu vinginevyo nai tunaisahau muda si mrefuoh no! this is becoming desperate now....mimi najua kuwa kama kitu ni kizuri hakuna haja ya kushinda kujaribu ku prove...chema chajiuza au? mtafungua nyuzi ngapi wallahi? #third_world_mentality #shithole_mindset