Dar es Salaam ni Jiji maskini zaidi Tanzania na SADC kwa ujumla

cordoba

JF-Expert Member
Jul 15, 2017
686
962
Aisee nimetembea Dar kwa mara ya kwanza zaidi ya ,miez 3 nimeona kuwa na is over rated, yaani watu wake wengi ni maskini sanaa, wanaishi kwenye nyumba za mabanda na ziko unplanned, 70 % of Dar residents are living in dump ,trash.

Dar hakuna makazi bora ni uchafu tu. Nawashauri wakaz wa Dar watembelea mji wa Makambako, Njombe wakaone nyumba bora na jinsi mji ulivyopangwa, pia wanaweza tembelea miji kama Curitiba city, Cordoba , belohorozontal ,Walvis bay etc ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nimetembea Dar kwa mara ya kwanza zaidi ya ,miez 3 nimeona kuwa na is underrated, yaani watu wake wengi ni maskini sanaa, wanaishi kwenye nyumba za mabanda na ziko unplanned, 70 % of dar residents are living in dump ,trash , Dar hakuna makazi bora ni uchafu tu. Na washaur wakaz wa Dar watembelea mji wa Makambako , Njombe wakaone nyumba bora na jinsi mji ulivyopangwa , pia wanaweza tembelea miji kama Curitiba city, Cordoba , belohorozontal ,Walvis bay etc ,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nilipo-bold, unaelewa ulichokiandika kweli Mkuu? Kwahiyo sentensi umemaanisha Dar sio masikini kama inavyoonekana au inavyosemekana. Kitu ambacho kinapingana na maelezo mengine yote yaliyopo.
 
Dar inaongoza kwa uchafu Tanzania. Na maeneo mengi yana chakaa badala ya kuendelea. Ubungo miaka ya 90 ilikuwa ni sehemu nzuri sana kukaa, lakini leo kumechakaa sana. Nadiriki kusema asilimia kubwa ya wakazi wa Ubungo wa miaka hiyo wamehamia Mbezi na Kimara.

Stendi ya mabasi ya mikoani inayojengwa Mbezi ikikamilika, Kimara, Mbezi hadi Kibamba itakuwa ovyo kutokana na uhamiaji wa watu na ujenzi holela.
 
Hapo nilipo-bold, unaelewa ulichokiandika kweli Mkuu? Kwahiyo sentensi umemaanisha Dar sio masikini kama inavyoonekana au inavyosemekana. Kitu ambacho kinapingana na maelezo mengine yote yaliyopo.
Bora umemsahihisha ilitakiwa aandike overrated kama nami sijachapia

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Aisee nimetembea Dar kwa mara ya kwanza zaidi ya ,miez 3 nimeona kuwa is overrated yaani watu wake wengi ni maskini sanaa, wanaishi kwenye nyumba za mabanda na ziko unplanned, 70 % of dar residents are living in dump ,trash , Dar hakuna makazi bora ni uchafu tu. Na washaur wakaz wa Dar watembelea mji wa Makambako , Njombe wakaone nyumba bora na jinsi mji ulivyopangwa , pia wanaweza tembelea miji kama Curitiba city, Cordoba , belohorozontal ,Walvis bay etc ,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila DSM ina changamoto nyingi sana sanaaa na wakazi wake wamezizoea na kuwa za kawaida. Gharama za maisha ni kubwa huku standard ya maisha ni mbovu sana haswa kwa watu wa kipato cha chini

Upande wa pili kwa maendeleo imeziacha sehemu nyingine parefu sana. Ukifika mwanza na ukaambiwa ndo jiji la pili kwa ukubwa halafu uiangalie DSM, utaona dsm ina league ya peke yake Tz
 
SADC vipi kuhusu Lilongwe na Maseru au siyo SADC.Kwa hapa Tanzania mikoani kumeishinda Dar Kwa hali ya hewa tu zingine mbwembwe tu.
 
Ila DSM ina changamoto nyingi sana sanaaa na wakazi wake wamezizoea na kuwa za kawaida. Gharama za maisha ni kubwa huku standard ya maisha ni mbovu sana haswa kwa watu wa kipato cha chini

Upande wa pili kwa maendeleo imeziacha sehemu nyingine parefu sana. Ukifika mwanza na ukaambiwa ndo jiji la pili kwa ukubwa halafu uiangalie DSM, utaona dsm ina league ya peke yake Tz
Mmh dar pakawaida sana...yote mulemule tu..
 
Back
Top Bottom