Dar es salaam: Biashara ya maji ya kuoga

Dah! hali si ya kitoto! maisha lazima yandeleee kwa hali yoyote ile; fursa inachangamkiwa; pesa inatafutwa.
 
Cost of production ni kubwa mno.
Kuchemsha ndoo moja ni zaidi ya hiyo TZS mia tano
Kweli kabisa ukifanya tasmini za juu,.
Kuni itakua ndio msala! Lakini Maji yanakingwa kwenye mvua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…