Dar: Daladala lapiga mweleka na kuingia mtaroni Mtongani

Dar: Daladala lapiga mweleka na kuingia mtaroni Mtongani

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,715
Reaction score
59,251

Basi la abiria lililokuwa likitoka Makumbusho kuelekea Mbagala Rangitatu limepiga mweleka na kuingia mtaroni katika eneo la Mtoni Mtongani darajani jijini Dar as Salaam leo, chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika kwa haraka.(picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)

Break Down likiwa tayari kwa kulinyanyua gari hilo toka mtaroni.

Juhudi za kulitoa basi lililoanguka katika mtaro zikiendelea.
 
Acheni utani.
Haya magari yanakijbia sana.

Tegeta - gerezani
Gongo la mboto - masaki
Kawe- mbagala
Ma/mbuso -g/mboto
MBagala -makumbusho.


Ukilipanda ujue umepanda kifo.
Mengi ni Heicher.

Na kama hamjui.
Polisi wao wanakusanga pesa.Kila dala dala wanachukua elfu tatu hadi tano. Kwa mtu ambaya hana kosa ni kama sadaka.
Makonda wanajua kabisa.
Wakiona matrafiki wanakunja rlfu 3 kwenye kikaratasi mapemaa.
Kama wana kosa wataelewana wenyewe.

Cc waziri wa mambo ya ndani japo wapo bussy na mnunuzi ya wapinzani sasa hivi.


Salam toka botswana.
 
Damage sio kubwa
Ngoja liinuliwe hapo utaona kama ndogo ukifika garage ndio utashangaa, hapo chini anaweza kukuta muna vitu vime katika katika vingi na bodi imeenda upande.

Nigarama tu zakuumiza moyo.. Presha tupu magarihaya.
 
Pole kwa waliofikwa na kadhia hiyo. Ila sijapenda lugha iliyotumika "Lapiga mweleka". Ni lugha ya kishabiki kama vile lilikuwa limebeba ndizi.
 
Hilo ni bus tena liko tupu, hiyo break down huwa inayatoa makontena na semi kutoka makorongoni
Angalia kitu ya kutoa masemi na makontena korongoni.
1200px-20100225-Liebherr_LTM_1200-5.jpg
 
Back
Top Bottom