Mmhh na wewe pia unawahi uko niniii maana uandishi ni wakuchapia chapia
Gari la mchanga limeigonga coaster kwa nyuma na kupindu hapohapo hilo roll la mchanga
Kisa ni fuleni defi sana kutoka mbagara ranging 3 mpaka Kongowe] mzinga
Anataka kuwa wa kwanza kupost kwenye "FENTI FODI".Poleni sana mkuu nahisi FULENI DEFI ni tatizo asee
Zipo mpaka zawadi za wale wanaorekebisha herufi zilizo kosewa na kusahauliwaHivi JF kunatolewa zawadi kwa wanao kuwa wa kwanza kuripoti habari za matukio!?
HahahahaMkuu poleni sana naona unavyotetemeka mpaka vidole kwa huo uandishi.Mungu aliye hai awanusulu.
Atakuwa mgagagigikoko.hahahaKweli fileni defi[emoji3][emoji3][emoji3]
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.