Dar: Ajali imetokea Ubungo mataa muda huu

Dar: Ajali imetokea Ubungo mataa muda huu

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,714
Nimeshuhudia lori lililobeba container ya futi 40 likipinduka hapa Ubungo mataa,mpaka sasa hivi hatujajua kama kuna watu waliolaliwa na container hilo,purukushani ni kubwa mno pengine ndio katika "Cha kuokota sio cha kuokota"
IMG_20161218_164227.jpg
 
Yaani wa tz badala kuulizia hiyo ajali wamehamia kwenye magari yao mmh!!
 
Haroo muite muhusika aondoe kontena rake . ova !!!
 
Yaaani masikini ni kiumbe cha ajabu sana!

Mtu anaelezea ajali we unaanza judge Gari sijui passo!

Asee wanaume tafuteni hela au mmeshajikatia tamaa?!!?
 
Hadi Sasa hawajaitoa naona kuna gari imefika taratibu zinaanza za kulitoa.Wajitahidi kesho litasababisha foleni tu kwakweli
 
Hadi Sasa hawajaitoa naona kuna gari imefika taratibu zinaanza za kulitoa.Wajitahidi kesho litasababisha foleni tu kwakweli


Imagine hapo bado haijawekwa flyover, huyo dereva alikuwa na mawazo mbali sana
 
Mkuu kumbe gari yenye hicho Kigaragosi hapo mbele ni wewe!??Pamoja sana...Ulinichomekea maeneo ya riverside...Nikakustahi tu.Kumbe mwana JF mwenzangu??
 
Back
Top Bottom