Dangote

KIDUDU

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
2,557
1,926
Salam sana GTs,
Kiwanda cha Dangote Mtwara wametangaza nafasi za kazi kupitia zoomtanzania na kuelekeza applications zifanyike kupitia e mail hii recruittanzania@dangoteprojects.com , nimetuma kama mara mbili ila kwa mara zote napata failure notice kwamba e mail haikwenda, nikajaribu kufanya enquire kwenye e mail yao HQ yaani nigeria@dangotecement.com nikapata response hii.

Delivery has failed to these recipients or distribution lists:

nigeria@dangotecement.com
The recipient's e-mail address was not found in the recipient's e-mail system. Microsoft Exchange will not try to redeliver this message for you. Please check the e-mail address and try resending this message, or provide the following diagnostic text to your system administrator.


kwa maana hiyo hata hii haikwenda.

Nombeni msaada kama kuna mtu amefanikiwa kutuma amefanyaje? maana mimi nimeishiwa ujanja.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom