Dangote Industries Matapeli

Hadi magazetin wanaweka matapeli hatari sana sijui wapi tutaamini hakuna utapeli
 
Fikeni Takukuru...afu fuatilieni mirejesho...tutaishia kulalamika kila siku...wengine watakwambia hata takukuru shida...
chukua hatua..

takukuru ndo watafanya nini sasa? mkuu nawe huwa unafikiria dah!
 
hizi ni stail za kitambo sana kuibiwa kwa njia hii ni ufinyu wa mawazo!!!!
 
mwambie atume hiyo laki 3 apangiwe kazi haraka
 
Hivi visa vimezidi. Bahati mbaya sana jeshi la police wako kimya.
 
Waziri hayupo naona kafa lakini hawajua kama kafa ama la ila kusema ukweli hayupo
 
We umeibiwa tu, wala Dangote haihusiki na wizi huo. Mbona utapeli huu wametapeliwa hadi wakurugenzi, unaambiwa tuko kikaoni,jina lako limependekezwa kwenye nafasi fulani, tuma hela. Ukituma umeliwa wenzako maisha yanasonga! be careful .
 
Hadi magazetin wanaweka matapeli hatari sana sijui wapi tutaamini hakuna utapeli
Ukiona hivyo ujue jamaa wako serious na utapeli huo,tulizoea kwenye job portals sasa wanajua magazeti mnayaamini so huko huko.
 
= I stand to be corrected.
 
Sina hamu nishalizwa
Mimi nppf tena kupitia namba Y mtu naye mjua elfu 50 yaanii cjui hali ikoje
ikoje mimi ni mbishi ila nilipatikana inaonekana hlo chama ni kubwa sna hatarii job hunters tuwe makini
 
Jameni tutaelimishana mpaka lini,ukiona mtu anakuharakisha ,anakupromise vitu vizuri ambavyo siyo realistic,anataka usign documents haraka bila hata kukupa muda wakusoma,anaweka pesa mbele kwanza kabla ya kupata hicho anachotaka kukupa huyu ni taperi.Mengine mnatapeliwa kwa sababu hamtaki kumsikiliza Mungu,kama Mungu wako anaruhusu utoe rushwa endelea,ukitapeliwa kaa huko huko.tapeli atahakikisha hakupi muda wa kufikiria ,...tuma haraka ..leo leo jamaa wako wanapitia CV zenu.
 
Kichwa cha habari na maelezo yako hayana uhusiano? Dangote Industries matapeli au kuna watu ndani ya Dangote ni matapeli? Check youe language dogo, itakutia matatani.
 
Kichwa cha habari na maelezo yako hayana uhusiano? Dangote Industries matapeli au kuna watu ndani ya Dangote ni matapeli? Check youe language dogo, itakutia matatani.

So hapo haujaelewa nini brza ama unataka kuleta ligi na ujuaji usio na maana.pili me siyo dogo be careful
 
So hapo haujaelewa nini brza ama unataka kuleta ligi na ujuaji usio na maana.pili me siyo dogo be careful

Hey easy! Umeituhumu Dangote Industries kuwa ni matapeli wakati aliyetaka kukutapeli ni mtu mmoja, tena huna hata uhakika kama ni muhusika wa Dangote Industries. Kuwa mwangalifu, tuhuma kama hizi zinawatia watu matatani..
 
Brza umekuja na presha sana upo dangote nini.kazi zilitangazwa gazetini dailly news la tarehe 17february kama dangote industries ulitaka niseme nini?
 
Brza umekuja na presha sana upo dangote nini.kazi zilitangazwa gazetini dailly news la tarehe 17february kama dangote industries ulitaka niseme nini?

Hakuna presha hapo, ulitakiwa uwe unajua saa hizi kuwa si kila tangazo unaloliona ni genuine! Ndio maana nilikuita 'dogo' (sorry) mwanzo kwa sababu niliona umetoa tuhuma bila kutafiti. Hata kama kweli tangazo ni la Dangote, ina maana Dangote kama Kampuni kwa akili yako, watakuwa wamemtuma huyo aliyetaka kukutapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…