Danger danger Magomeni Mapipa Hatari weye

haya matitizo siwezi kuwa na dem aina hii
 
haya matitizo siwezi kuwa na dem aina hii

Hujui tu unachokisema wewe! Siku utakayojikoki na ukaonja utamtaliki mkeo kimbaumbau (I.e
mwembamba kama mwali ooops kama muwa)!
 
Wajua nikadhani ni aina mpya ya vibaka imeibuka...nikafungua ili na mimi nipate uelewa niweze kuwa na tahadhari.

Kumbe hawa, mbona hata kwetu wapo hawa?
 
mie sijaona kitu hapo, sijui pc yangu mbovu!!!!
 
Zamani kulikuwa na watu wanaitwa chinja chinja au nyonya damu ndo haya hapa..!!
 
amna sasa huyu aoni kama ni mzigo na kwenye mazingira yenye shida ya maji anaweza akateseka mana anatumia maji mengi akiwa chooni
 
Biashara ni matangazo, wasisahau kulipa kodi ya VAT.
 
Reactions: awp
Hujui tu unachokisema wewe! Siku utakayojikoki na ukaonja utamtaliki mkeo kimbaumbau (I.e
mwembamba kama mwali ooops kama muwa)!

te!te!te mkuu nipe siri ya utamu wa hao mabwenyenye.!!
 
Wanatia hasara sana wa aina hii. Ya mlo na maintenance. Ukiwa na demu huyo gari kama vitz lazima kivunjike spring. Nguo lazima mita zizidi, kwenye maakuli usiseme, kitanda zaidi ya queen size yaani everything comes xxl.
 
Naona unajifagilia kiaina, kama vipi tupia kapicha kako tukupe alama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…