Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
Sawa ila nijibu ilo swali langu vizuriH-pylori siyo ugonjwa ndugu ni bacteria anayesabisha vidonda vya tumbo. Unampata kwa njia ya kula au kunywa virus vichafu.
Hakuna Ugonjwa wa H-PYLORIHamjambo natumai mupo wazima naomba kueleweshwa ni zipi dalili za ugonjwa au h-pylori,mana natamani kwenda kupima huu ugonjwa kutokana na homa za mara kwa mara zinazonikabili ila niliwahi kuskia watu wanaongea kwamba huu ugonjwa unatokana na matumbo namaanisha tumbo likiwa linauma ndio unapaswa kwenda kupima naomba munieleweshe kwa anaejua
ivi apo ndio umejiona umejibu kitu cha maana sanaMgonjwa ukienda kuonwa na mtaalamu,eleza dalili za kinachokusibu inatosha,siyo ume-google vitu huko unatajataja terminologies hautasaidika.
Kujieleza ndiyo hatua muhimu kuelekea kupata tiba sahihi.
ShukraniH pylori ni mdudu bakteria anayeweza kuchangia ugonjwa wa madonda ya tumbo
Ingawa asilimia kubwa ya wagonjwa tunawakuta wakiwa hawana h pylori
Kuna nini?Hakuna Ugonjwa wa H-PYLORI
Elezea vizuri unajiskiaje ili watu wakusaidie mkuu.Kuna nini?
Yeah naitaji dalili wamenieleze tu ila wao wananiambia mambo mengineila watu bana, mtu kauliza swali na ww unamuuliza swali tena, maana yake hajui yeye anachotaka mtajie dalili Siyo kumuuliza tena
Yeah naitaji dalili wamenieleze tu ila wao wananiambia mambo mengine
Yeah naitaji dalili wamenieleze tu ila wao wananiambia mambo mengine
Acha kutumia sukari na vitu vyenye sukari, kula Milo michache kwasiku izo Hpylori zitapotea zoteHamjambo natumai mupo wazima naomba kueleweshwa ni zipi dalili za ugonjwa au h-pylori, maana natamani kwenda kupima huu ugonjwa kutokana na homa za mara kwa mara zinazonikabili ila niliwahi kuskia watu wanaongea kwamba huu ugonjwa unatokana na matumbo namaanisha tumbo likiwa linauma ndio unapaswa kwenda kupima naomba munieleweshe kwa anaejua
Mmmh, duuh aiseeeAcha kutumia sukari na vitu vyenye sukari, kula Milo michache kwasiku izo Hpylori zitapotea zote
Unashangaa mkuuMmmh, duuh aiseee