Atashindwa viabaya mno, wakni wana arusha wanahitaji waziri. Lema ni mropokaji tu, aende mwanza akatulize upepo wa kile alichokianzisha cha kuropoka halafu kaingia mitini? yeye alivyojiropokea kwani cdm hawana uongozi mpaka mropokaji kama yeye akaachiwa. Na ubunge lazima aukose!!! Wananchi wamestuka kwa sasaNaona unaota ndoto za mchana wewe, Lema atashinda kwa kishindo kikubwa sana. Chezea Arusha weee
Harudi Mjengoni Lema.