Tayari Felix Tshisekedi ameanza kuonyesha Dalili ya kushindwa kwenye kampeni hizi.
Tayari sheria ya nchi yetu imeamuru kuwa Moise Katumbi ni mkongomani na ana haki ya kugombea urais wa nchi hii.
Inawezekanaje Felix Tshisekedi kwenye kampeni zake anatumia maneno ya kibaguzi kumtukana mpinzani mwenzako kuwa sio mkongomani.
Hapa sheria ifuate mkondo wake haya ni maneno ya kibaguzi
Hii ni Dalili ya kushindwa
Tulivyokuwa tunawaambia kuwa Moise Katumbi ni popularity sana zaidi ya Felix Tshisekedi katika nchi yetu na wakongomani wengi wanataka kutawaliwa na Katumbi mlifikiri tunawadanganya
Leo tuko wapi
Kilichomponza Felix Tshisekedi ni promises zake ambazo hawezi kutimiza kwa miaka mitano.
Yaani mtu ana promise kwa miaka mitano ya urais wake atageuza Congo kuwa Ujeremani ya Afrika
Matokeo yake
Ndo haya sasa wakongo hawamtaki kila anakoenda anaimbiwa nyimbo za kumkejeli. Labda apite kwa wizi
Na hilo ni ndoto Moise sio Fayulu