Dalili mojawapo ya kujua mpenzi uliyekutana naye kwa mara ya kwanza anakupenda

Sasa hapo ni kufanya michezo ya kitoto. Sasa kama nina namba ya mtu why nikae kusubiria anitafute ?!

What if kama na yeye amekaa akisikilizia nimtafute hapo si ni kupoteza muda?!

Mahusiano ya miaka hii yamejawa na utoto mwingi sana na ndio maana hayaendi sababu ya hizi mind games za kisekondari.

Mnakuja kuwa serious umri umeenda mtu una miaka 35 au 40 sasa umri huo unaanzisha mahusiano ili ukafanye nini ni upumbavu mtupu. Msyuuuuuuuu
 
Sdhan kama n njia sahihi.........lkn iman n hakika na ni bayana ya mambo yanayotarajiwa na yasioneka. Iman yako imekuponya😎
 
Kumtafuta wewe, ina maana wewe ndio unamhitaji sana kuliko yeye anavyokuitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…