Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kuwa na urafiki wa karibu na Dada Mmoja {Normal Friend} ukweli sijawahi kumtongoza lakini nipo free kwake kumwambia kitu chochote,,lakini karibuni ameanza kuniambia personal issue nyingi ambazo naweza kusema ni ngumu kwa mwanamke kumwambia mwanaume wa kawaida,pia tunatoka pamoja,tunakula pamoja,lakini cha ajabu mpaka akitongozwa na Mtu huwa ananiambia na ananiomba ushauri,,,Ukweli nimeanza kuvutiwa naye but i respect her a lot.Je wana jamii naombeni msaada ni mambo ya kawaida au ni dalili za kupendwa?
Usithubutu kuja kumtongoza kwani huo huenda ukawa mwisho wa urafiki na ukaribu wenu...so far she has been respecting you as a friend...just respect those grounds.Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kuwa na urafiki wa karibu na Dada Mmoja {Normal Friend} ukweli sijawahi kumtongoza lakini nipo free kwake kumwambia kitu chochote..
Anakueleza kwa kuwa anaamini unamjali na huwezi mwangusha...huo unaoona ni ugumu kwake ni kitu kirahisi kwa kuwa anakuamini.,,lakini karibuni ameanza kuniambia personal issue nyingi ambazo naweza kusema ni ngumu kwa mwanamke kumwambia mwanaume wa kawaida,
Close friends normally do this...don't take as a compliment kufanya makorokocho yako....
pia tunatoka pamoja,tunakula pamoja,
Wewe toa ushauri, anaamini uwezo wako wa kufikiri na pengine busara za ndio maana kakufuata...lakini cha ajabu mpaka akitongozwa na Mtu huwa ananiambia na ananiomba ushauri,,,
I don't think if she does love you rather she likes and respects you...take it from me!Ukweli nimeanza kuvutiwa naye but i respect her a lot.Je wana jamii naombeni msaada ni mambo ya kawaida au ni dalili za kupendwa?
Usithubutu kuja kumtongoza kwani huo huenda ukawa mwisho wa urafiki na ukaribu wenu...so far she has been respecting you as a friend...just respect those grounds.
Anakueleza kwa kuwa anaamini unamjali na huwezi mwangusha...huo unaoona ni ugumu kwake ni kitu kirahisi kwa kuwa anakuamini.
In short she believes, her secrets are safe with you...
Close friends normally do this...don't take as a compliment kufanya makorokocho yako....
Wewe toa ushauri, anaamini uwezo wako wa kufikiri na pengine busara za ndio maana kakufuata...
I don't think if she does love you rather she likes and respects you...take it from me!
Some people were just ment to be close friends...that's all and you should live with it!!
Nimemaliza!!!

Hizo like utamwambia sister anipe eenh...:becky:shem umemaliza yote. unanidai likes 1000.
Wantia aibu ujue...yaani wasahau jina la my darling who happens to be your blood sister lol...
hahahaha, lol, tatizo sist ana jina kama mizizi ya shamba. fanya mpango umbatize bana.
halahala mama huyo ndio mwandani wa moyo wangu...weye waona mzizi wa shamba...miye naona kama chocolate...
Huyu hapa mwingine..hili swala la kuwa na doupt kama unapendwa au haupendwi lishakuwa ugonjwa wa taifa na linasumbua sana vijana,sasa unaomba ushaur kwa watu wasiomjua,watakushauri kwa kubase kwenye hizo factors chache ulizotoa ambazo umevutia upande wako kujifavour,we ndo unamjua bhana judge yourself