Tripper JF-Expert Member Joined Nov 15, 2020 Posts 802 Reaction score 1,622 Feb 2, 2024 #161 Baada ya uhusiano wa miaka minne, hatimae dalili ya 9 ikaanza jitokeza. Kumbe alipata Sponsor bhana, Thank God nishamsahau sikuhiz ananisumbua sana baada ya kugundua Mapenzi sio pesa peke yake kuna ingredients zingne zinahitajika.
Baada ya uhusiano wa miaka minne, hatimae dalili ya 9 ikaanza jitokeza. Kumbe alipata Sponsor bhana, Thank God nishamsahau sikuhiz ananisumbua sana baada ya kugundua Mapenzi sio pesa peke yake kuna ingredients zingne zinahitajika.
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,789 Reaction score 4,480 Feb 3, 2024 #162 Balaa