Dalili 10 za mwanamke msaliti

 
Ndo maana nawashauri wanaume, tusishindane na hivi viumbe... after all vipo vingi..hata 'ukikaze' namna gani kikiamua kutotulia kitatoka tu.
Hahahaa kweli kaka
 
Kuna mdogo wangu ana kama dalili 5 hapo juu lkn mwezi huu ameolewa,nasubiri mrejesho japo nilisimamia send off yake na kumtakia kila lakheri si unajua damu nzito.
 
Pole sana kk
Nishapoa mkuu, tulikuwa tunaishi mitaa tofauti... Wakati mwingine alkuwa anakosea text badala kumtumia jamaa zinakuja kwangu, kuna siku niliumia Sana baada ya kuongea usiku naye kuniambia anataka kulala hivyo tukatishe maongezi, baada ya muda ikaingia text ilosomeka " Leo unataka nivae cheni au shanga? Alafu nyuma kuna niwasha kweli, naomba uandae mafuta ya mgando Kama huna niambie nibebe " ...kwa kweli sikupata usingizi hiyo siku.
 
Dalili nyingine ukiona anapenda sana appoinrment kwenye mapenzi ujue mpo wengi. Mfano anachukia sana ukienda kwake bila kumjulisha mapema anatoa povu.
For God's sake, why umshtue mtu? Kwamba sina maisha mengine maisha yangu yote ni wewe? Umepanga kitu nishirikishe mimi mtu mzima atii nna ratiba zangu pia
 
Pole sana bro
 
Duuh pole sana kaka
 
Kuna mdogo wangu ana kama dalili 5 hapo juu lkn mwezi huu ameolewa,nasubiri mrejesho japo nilisimamia send off yake na kumtakia kila lakheri si unajua damu nzito.
Mpe pole aliyemuoa
 
Well said man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…