samahani naomba kuuliza,katika uuzaji wa nyumba nani anawajibika kumlipa dalali kati ya muuzaji na mnunuaji?na pia uwa bei inawekwa kwa asilimia au ni makubaliano??asante.
inategemeana akakulipa muuzaji au mnunuaji ila maranyingi huwa ni mnunuaji akili kwako dalali pia mara nyingi hela hutolewa kwa maelewano kibongobongo ingawa ni vizuri zaidi kwa asilimia..
mkuu pole na majukum, mimi natafuta nyumba ya kupanga, iwe ya vyumba 2 na sebule, iwe mwanza maeneo yoyote, "medium standard" ntashukuru endapo ntapata msaada.
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya shekhilango na yaan nyuma ya ubungo plaza na ubungo terminal. budget yang ni elfu hamsin na kulipa kwa miez mitatu mitatu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.