nahitaji single room, yenye tiles singboard, madirisha safi, ndani ya ngome, umeme na maji vipo, maeneo ya tegeta!
nifahamishe na bei pia!.. itakua vizuri ukanifahamisha na bei ya master, ili nifanye ku-compare cost
NB:- MALIPO KWA MIEZI MI3 maana nafanya kazi za mkataba wa mda mfupi sitabiriki muda wa kuhama!.
mawasiliano PM itapendeza ama hapahapa ukiniquote(tag)