Dalali inaungaisha wateja na wafanyabiashara kupitia tovuti yake www.dalali.co Unachotakiwa kufanya ni kujisajili, na kuweka tangazo lako bure kwenye website ili kufikia wateja wengi wanaotembelea website yetu kila siku.
Tumeweka two factor authentication wakati wa kujisajili ili kuepusha watu kupost bidhaa za uongo.
Yani mtu anapojisajili atatakiwa kuweka number yake ya simu na atatumiwa sms yenye short code ambayo ataingiza kwenye website ili kukamilisha kujisajili.