Madereva wa daladala katikati ya jiji la Mwanza na maeneo ya wilaya ya Ilemela wagoma kutoa huduma kwa madai ya kunyanyaswa na askari wa usalama barabarani.
Mgomo huo ni kwa magari ya kutoka mchikichini kuelekea maduka tisa mzunguko mpaka Nyasaka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.