kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,068
- 18,077
Niliwahi kusema humu kuwa kuna maeneo ukikakaa hata huthaminiwi kabisa.
Daladala za Mbagala Mbezi zinajaza abiria utadhani zimebeba mifugo abiria wamejazwa humo utadhani ng'ombe wanapelekwa mnadani.
Naskiaga ni pachafu sana kwenye hizo daladala nakutanaga nazo kwenye foleni nachoka akili na roho.
Najisemea hawa watu mpaka wafike Huko mbagala watakua na hali gani?
Serikali iondowe ushuru wa magari, bei zishuke watu wanunue walau hata gari za milioni 3 maana hali ni mbaya sana.
Kizuri zaidi huko ndo maeneo yenye uswahili uswahili ambapo ndo kwenye wapiga kura wengi wa ccm!!
Mama angekua anawapenda angekua ametengua tangazo la nauli kupanda kiholela, ingekua ni wazenji wamepandishiwa angeongea km alivyotoa amri zenji isamehewe deni la umeme, mtu kwao bado mtanyooka tu sasa nyie mateso yenu yanamuhusu nini?Kwani nyie ni wazenji kama yeye?Tesekeni hadi akili zikae sawa maana huko uswahilini ndo mnaipenda CCM.
Namshukuru Mungu namiliki kausafiri kangu maana sahivi ingekua na mimi nateseka tu japokua siku moja moja napandaga mwendokas au daladala kipindi ambacho naona ubahili wa mafuta