WanaJF naomba maelezo ya daladala za kupanda kufika Kawe Beach,Dar es salaam nipo Banana
panda gari za gongo la mboto kwenda mawasiliano, ukifika mawasiliano panda gari za mawasiliano-kawe zinazopitia sam nujoma road...
Nimependa hiyo ila kama ni kwa nia nzuri maana imenipa wazo la kuanzisha the Hitchhiking Forum au JF waanzishe kipengele hicho kama kuna mwenye mawazo zaidi(kama) hayo aniambie nimpe mchangoMm nafanya biashara zangu kawe....njoo pm weka number nikupitie na alteza......
Thanx
panda gongo la mboto makumbusho, ukifika makumbusho panda gari ya kwenda kawe ukifika kawe kama huna nauli pita nyuma ya tanzania packers vuka barabara ya mtongani utaanza kusikia upepo wa beach!
basi mwambie ashuke moroko apande za kaweHakuna gari za makumbusho kawe acha fix!
basi mwambie ashuke moroko apande za kawe
Kwanza mtoa mada hayuko specific anataka kwenda eneo gani, kawe club, velissa, piccolo au msasani beach..tungejua destination yake ingekua rahisi sana kumsaidia!
Ukifika ubungo Niambie nikupelrke mwenyew Leo naenda uko shukia river side
Sa mtu anatoka banana anaenda kawe ubungo aje kufata nini? Ungekuwa muungwana ungemwambia mkutane japo buguruni mkuu
Anapanda gari la g/mboto ubungo anashukia riverside anapata lift. Sio mbaya kwakuwa mtoa lift ameridhia mwenyewe.