BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Jan 21, 2015 #1 Kwa kawaida kwenye daladala huwa kuna vituko na matukio ya kila aina ambayo kila mmoja wetu amewahi kukutana nalo! Hebu tuambizane ni nini hutasahau kutoka kwenye usafiri huu wa Umma?
Kwa kawaida kwenye daladala huwa kuna vituko na matukio ya kila aina ambayo kila mmoja wetu amewahi kukutana nalo! Hebu tuambizane ni nini hutasahau kutoka kwenye usafiri huu wa Umma?
B BUSTER JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 254 Reaction score 67 Jan 22, 2015 #2 Anza kwanza ww kutuambia ni jambo gani hutalisahau kwenye usafir wa uma daladala
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,976 Reaction score 34,284 Jan 23, 2015 #3 Siku niliyopanda daladala lenye matairi manne.
B BUSTER JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 254 Reaction score 67 Jan 23, 2015 #4 Baada ya hapo ukawa unapanda ya matairi 2 (baiskel) mpaka leo
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Jan 25, 2015 Thread starter #5 Ilinitokea daladala ikawa imejaa sana na nimesimama na mdada mmoja ambae ameegamia kifua chake kwangu, kumbe ile maziwa yake kubanana na kifua changu akawa anapata hisia kali za mahaba, mwisho akaanza kugumia kimahaba na pumzi zikabadilika...
Ilinitokea daladala ikawa imejaa sana na nimesimama na mdada mmoja ambae ameegamia kifua chake kwangu, kumbe ile maziwa yake kubanana na kifua changu akawa anapata hisia kali za mahaba, mwisho akaanza kugumia kimahaba na pumzi zikabadilika...
adyeri Member Joined Jan 17, 2015 Posts 11 Reaction score 1 Jan 25, 2015 #6 cku nilopanda gari wamo watalian wanaekti x nilichoka