Sasa afanyeje wakati mabuzi yote yanashindana kwa ajili nyake na mmoja wao mjanja zaidi kawahi anapelekewa mzigo akauchakachue?Huyo mwingine awe mvuilivu asubiri zamu yake maana amezidi kuwa king'ang'anizi anataka apate yeye tu wakati haonyeshi speed kubwa ya kummalizia ghorofa lake na kumletea RAV4 ili aachane na daladala.
Mimi Mke wangu simpi simu ya mkono bora awe na simu ya nyumbani kuliko kumpa simu ya mkono. ukimpa mke wako simu ya mkono ujuwe unawapa watu wengine huyo mke wako kama kweli unampenda mke wako bora usimpe simu ya mkono.