Dala dala na utanuaji.......aaaaargh inakera! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dala dala na utanuaji.......aaaaargh inakera!

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, Oct 11, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  View attachment 67846
  Umenunua kamkoko toka Dubai ka kupunguza makali ya daladala.
  Wewe na mamsap mnakula kiyoyozi taaartibu mkielekea mujini, ghafla bin vuu, ze daldala mtanuzi anakubamiza ubavuni tokea mlango wa kushoto.
  Mimi hapo namkata miguu dereva daladala asiendeshe tena!!!
   
 2. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mimi sijawahi kuona nchi isiyofuata utawala wa kisheria kama Tz. Askari kwa mfano wa Mbagala, wanajifanya wanaongoza magari lakini daladala zimejaa katikati ya barabara na askari wanalazimisha magari yanayopita kujibana pembezoni kwa ajili ya kuwapa upendeleo daladala.
   
 3. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Utamkate miguu wakati kesha kurest in peace
   
 4. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Ole wake nifufuke!
   
 5. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tatizo kila mtu mbabe sikuizi
   
 6. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,912
  Likes Received: 12,091
  Trophy Points: 280
  Ukweli husemwa:

  Kiama kikikupata imetoka. Hakuna kufufuka tena. Utaendelea kuwa tu rest in peace forever.
   
 7. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Ha ha, ukichubuliwa ubavu wa gari unadanja?? Labda kwa presha au sukari kupanda ghafla
   
 8. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hongera kwa kununua gari na sasa una-drive mjini!
   
 9. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Kukruka mwanangu, daladala imeharibu furaha yangu
   
 10. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Dawa yao hao ni hayati Alhaj Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, hata kama hayupo ameacha wajukuu zake waulize watakupa.
   
 11. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi sije tena Dar mpaka mjenge Fly-overs 2017.
   
 12. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ignorance of Law.......................... mtamalizia!
   
 13. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa Ditopile Mzuzuri alikerwa sana na tabia hii hadi kumtwanga risasi dereva wa dala dala
  akini ukweli dereva huyo alimchomekea kwa staili hii hii.
   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Barabara zenyewe hata mstari wa kati hakuna
   
 15. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Kwa sie madereva wa siku nyingi barabarani ku-overtake toka kushoto ni mwiko kabisa. Barabara za zamani wala hazikuwa na markings lakini watu waliendesha kwa heshima kwa vile walipitia mafunzo ya udereva.

  Leo mjini DSM madereva wengi barabarani wana leseni za kununua na si mafunzo.
   
Loading...