daktari wa meno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

daktari wa meno

Discussion in 'JF Doctor' started by julisa, May 30, 2012.

 1. j

  julisa JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wanajf naomba msaada wa daktari mzuri wa meno. Anapatikana wapi?
   
 2. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,037
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Kuna daktari mmoja anaitwa Gupta ni Mzuri ila ana gharama nakushauri umwone yeye ni mtaalam sana yupo karibu na Mnara wa saa (Clock Tower) ukiuliza maeneo hayo waonyeshwa
   
 3. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  kuna madaktari wengi wazuri wa meno
  1. Smile dental clinic hipo mkabara na Holiday Inn Hotel, maeneo ya posta mtaa wa upanga.
  2. AAR posta kuna daktari nzuri wa meno.
  3.Ibrahimu Khaji pia
  4.Shabbir dental clinic kuna madaktari wazuri wa meno.
  5. Dr Gupta nae ni nzuri, yupo maeneo ya clock tower.
  6. Regency upanga kuna madaktari wazuri wa meno.
  7. Family clinic ya upanga pia hina madaktari wazuri wa meno
  8. Bila kusahau Muhimbili, fast track kuna madaktari bingwa wa meno na huduma ni nzuri.

  Chaguzi ni lako tuu.
   
 4. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #4

 5. j

  julisa JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Asanteni sana. This shows jf is so useful to us. stay blessed guys.
   
 6. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nenda SANITAS , 0766863035, pesa yako tu
   
 7. j

  julisa JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sanitas ni wapi mkuu, au ngoja niwatafute ktk hiyo nr ulioitoa..
   
Loading...