Nenda TMJ kwa Dr Kuzema.ni daktari bingwa wa masikio.pia unaweza kumpata CCBRT.ila ccbrt foleni kubwa,so unaweza kwenda TMJ halafu anaweza kukusaidia ukamuona CCBRT kwa haraka .mimi mwanangu alipata tatizo kubwa sana la sikio,nikaambiwa hatapona hadi aende nje kutibiwa.nikaelekezwa kwa huyu Dr,ameshapona .