Sabato masalia
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 228
- 134
Hii habari ni uzushi mtupu, Dr. Hosea hajasafiri hivi karibuni kwenda USA, isitoshe jamaa ni muadilifu sana, miliono 45 kwa MKURUGENZI WA PCCB ni hela ndogo sana, Watanzania tujiepushe na hizi propaganda zisizokuwa na maana yoyoteHiyo ndo bongo kaka, unashangaa Tzs. 48m mbona huzungumzii zile za kunusuru nchi tokana na mtikisiko wa uchumi ? Mbona hushangai kuwapa wawekezaji dhahabu yote nyie mnabaki na asilimia tatu za mrahaba na sasa wamefunga mgodi wa Tulawaka na Nzega Resolute na tuliambiwa kuwa maisha ya watu yatabadilika na kwamba maeneo husika yatakuwa ulaya ya Tanzania?
Hivi mil 45 kwa dr.hosea mbona kihela kiduchu sana kwa nafasi yake,mnaujua mhshahara wake ,posho zake .... Tuache majungu jamani watanzania na tusitumie jf kama kichaka cha kupakazia watu uongo na uzushi ... Kukaimisha mtu ni matakwa ya kiongozi mwenyewe anavyoona hailazimishwa . Mana hata taarifa yenyewe imekaa kiuzushi tu hakuna facts za kweli ambazo zimewekwa...
Hii habari ni uzushi mtupu, Dr. Hosea hajasafiri hivi karibuni kwenda USA, isitoshe jamaa ni muadilifu sana, miliono 45 kwa MKURUGENZI WA PCCB ni hela ndogo sana, Watanzania tujiepushe na hizi propaganda zisizokuwa na maana yoyote
Wewe hatuandiki kwa kubabaisha ni kweli alikwenda marekani ni hivi sasa yuko Astralia yeye pamoja na mzee Mkuchika, Hosea ameifanya TAKUKURU ni kama SACCOS yake.