Dakika 2 tu, kuku wako yuko tayari! šŸ“āš”

Dakika 2 tu, kuku wako yuko tayari! šŸ“āš”

Brayan_Jk

Senior Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
187
Reaction score
199

Wafugaji wadogo sasa wanatumia mashine za kutoa manyoya ili kuokoa muda, kupunguza kazi ngumu na kudumisha usafi.
šŸ’” Kutumbukiza kuku kwenye maji moto kisha kwenye mashine na mara moja, kuku yuko safi na tayari kwa hatua inayofuata.

Tunafurahi kuona wafugaji wakikumbatia suluhisho rahisi na bunifu kama hizi.

Kupitia Fuga App, tunawasaidia kwenda mbali zaidi kupanga gharama, kufuatilia mauzo, na kudhibiti ratiba za chanjo yote kupitia simu yako. šŸ“² Pakua leo kutoka Playstore Fuga - Apps on Google Play

Ufugaji wa kisasa si tu kulea kuku, ni kuendesha biashara yenye
faida.
 
Back
Top Bottom