HAPANAAAAAAAAA.......NAKATAAAAA......Tunamheshimu mwache apumzike.Mh. Rais mstaafu J.K.Mrisho, alikuwa mtu watu mwenye bashasha asiye na makuu hata watu wamseme vipi. Ametuachia Jakaya Kikwete Heart Institute. Ok, hata kama ni pesa zetu za kodi lakini kitu kinaonekana na kinafaa sasa. Barabara za lami mkoa kwa mkoa wilaya kwa wilaya. Eee ni hivyo tu hata ukikashfu... Ulitaka rais awe baba ako au mjomba ako ndio uridhike. Tumepiga hatua na tunasonga mbele na Jembe letu hapa kazi tu President J.P.M
Mh. Rais mstaafu J.K.Mrisho, alikuwa mtu watu mwenye bashasha asiye na makuu hata watu wamseme vipi. Ametuachia Jakaya Kikwete Heart Institute. Ok, hata kama ni pesa zetu za kodi lakini kitu kinaonekana na kinafaa sasa. Barabara za lami mkoa kwa mkoa wilaya kwa wilaya. Eee ni hivyo tu hata ukikashfu... Ulitaka rais awe baba ako au mjomba ako ndio uridhike. Tumepiga hatua na tunasonga mbele na Jembe letu hapa kazi tu President J.P.M
Jaribu kupevuka kidogo chiefMh. Rais mstaafu J.K.Mrisho, alikuwa mtu watu mwenye bashasha asiye na makuu hata watu wamseme vipi. Ametuachia Jakaya Kikwete Heart Institute. Ok, hata kama ni pesa zetu za kodi lakini kitu kinaonekana na kinafaa sasa. Barabara za lami mkoa kwa mkoa wilaya kwa wilaya. Eee ni hivyo tu hata ukikashfu... Ulitaka rais awe baba ako au mjomba ako ndio uridhike. Tumepiga hatua na tunasonga mbele na Jembe letu hapa kazi tu President J.P.M