dah, yamenikuta...

We mwananyamala walisika wazaramo wakimkanya mtoto asilie
 
Mkuu seriously ogea petrol inakata harufu
 
Nenda gereji kajiloweke kwenye oil chafu foma haitakusaidia

Sijui uko wapi, kama uko Tanga hebu tembea kwa mguu kutoka Tanga mjini hadi Muheza alafu uoge, hilo jasho lazma manukato yakate
 
Hahahahahaaa stori zingine ni kwa ajili ya Kunogesha Eid Elfitr, kajiloweke kwenye foma kama Josho la ng'ombe mkuu.
 
Jimwagie konyagi mwili mzima au kojoa ujimwagie mikojo ili unukie mikojo na sio marashi hayo
 
Nikiwaga kweny scene kama yako ninachofanya ni kujipanga petrol tu harufu yote inakata, ukifika home sema pikpik ilikusumbua(km unayo) kama huna sema ulipita sheli au gerej ndo petrol ukakumwagikia. Ivo tu yaani na kesi inakua imekwisha
 
Mkuu umefanya mapenzi na jinni linaitwa marid linapenda manukato balaa na sasa utauona moto wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…