dah, yamenikuta...

Nikikutanaga na harufu ya hivyo vimafuta huwa naahirisha mechi
 
Yaani watoto wa Kitanga ni habari nyingine.
Hiyo harufu inaweza dumu hata siku 2. Sijui wanaweka nini?

Naamini ningeedelea kuishi Tanga, hadi saizi ningekuwa sayari nyingine! Maana siyo kwa mapenzi yale!

Respect kwao
 
Washa moto wa kuni pita kwenye moshi lazima manukato yakate utanuka moshii kwishaa habari
Manukato ya moshi wa kuni hayaishagi, naonaga bora nizungukie njia ndefu kuliko kukatiza sehemu yenye moshi
 
ha ha ha ha muite tena muendeleze ili uendelee kunukia
 
Hii imesha niokoaga katika janga
 
Zamani kidogo liliwahi kunikuta balaa Kama lako ila mimi ilikuwa ni yale mafuta ya masaji na mambo ya body to body. Nilitamani nijikwangue na msasa
 
Zamani kidogo liliwahi kunikuta balaa Kama lako ila mimi ilikuwa ni yale mafuta ya masaji na mambo ya body to body. Nilitamani nijikwangue na msasa
hatari sana yakikukuta,, ila sasahv angalau nmetumia sabuni ya unga imepungua nmenunua a pafymu mpya nijipilizie afu naenda nayo home
 

Mnalogwa kirahisi kweli mwishowe mnatelekeza familia watoto wanateseka, dhambi ni kitu kibaya sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…