dah, yamenikuta...

wazo zuri mkuu
 
Habari bila picha mbwembwe tu
 
Kuna ile dawa ya kutoa madoa ndo ujiloweke na ukitoka apo utafute zile dawa za kuulia mende na wadudu watambaao
 
Ndiyo maana tukifika home fasta tukaingia kuoga huwa ni ugomvi.

Kumbe sababu ni hizi eeh!
 
Kama we ni mnywaji wa pombe katafute pombe fulani inaitwa Banana au Bhunu Bundi iko kwenye chupa ya kijani, kunywa kama chupa 4 mpaka ulewe chakali halafu usioge ulale hvo hvo, utaamka asubuhi jasho lote linanuka banana hata ukioga utanuka banana kama masaa 8 hivi
 
Skia kanunue hayo hayo manukato kisha mpelekee wife zawadi .ila ukifika home kabla ya kuingia ndani muagize wife sehemu akachukue kitu kisha ukirudi wahi nenda kaoge halafu jifanye umejipaka hayo manukato.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu nenda kashinde ferry ukibeba samaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…