Dah! tuwe na HURUMA KIDOGO

Na wapo kibaaaaaaoooo humu ndo maana hawachangii na wakichangia wanakausha kama sio wao...mxyuuuuuuu wa miaka 30
 
ni kweli kabisa mkuu!!
 
Kuna mmoja hawataki kabisa wanae, eti walelewe na babu.
 
Ayaaa jiwe limenipata.

We jamaa mbayaaaa
 
Mpaka miaka 32 bado unakaa kwa mama na wewe kweli utajihesabu ni mwanaume?
 
Heee na huyo mama anayepokea starehe za mwanae ana matatizo pia.....

Yaani namuimagine maza wangu..... loh angenitimuaje

hahahaaaa hana utofauti na wangu unapokea vichambo vya hatariiiiii loooo lakin wanatufunza mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…