Dah!!tabu

lol! hahahahaha ukija shtuka unasikia dudu imepita kwa pembeni pembeni lol!....Kwisha kazi....umebakwa mtandaoni!!!! :majani7::majani7::majani7:
na wewe hujatulia kweli.
vp x-mass?
 
Reactions: BAK
lol! hahahahaha ukija shtuka unasikia dudu imepita kwa pembeni pembeni lol!....Kwisha kazi....umebakwa mtandaoni!!!! :majani7::majani7::majani7:

acheni maneno bwana....mie siwezi baka mtandaoni....ila naweza kukigegeda
 
Reactions: BAK

kifo huwa hakikosi sababu
 
usimuache huyo mwanamke mpaka bastola ikufyatukie na kukuchoma na kitu chenye ncha kali.......... Wakati watakapokuwa wanakuimbia parapandaaa italiaaaaa parapandaaaaaaa ndo utakuwa umefanya uamuzi sahihi.....
Heheheeee umeona eeh
 
Duh! haya banaa inabidi uchakarike kivyako vyako ili kumpata mdada, vinginevyo imekula kwako usiku wa leo.

kusema kweli huyu bidada kashanichanganya akili hapa...yaani nawaza sana mambo ya kumkojolesha demu
 
mkuu si kama kamuowa huyo msichana wanaishi nae kama kimada,jamaa ana mke na watoto
 
Unamshauri amege tu mali za watu, na ile aliyotishiwa ni toy pistol ee?
nikwamba huyo mshua anafamilia yake,huyu msichana kamuweka mjini tu
 
wakuu nazani wengi hamjanielewa..huyu mshua anafamilia yake mke na watoto,huyo msichana kampangia tu nyumba,na kumpa maisha,mwanamke kachoka kuwa kimada kwa mujibu wake.ila ushauri wenu ntauzingatia na kampuni ya tours alio fungua niya mdada mwenyewe.
 
nikwamba huyo mshua anafamilia yake,huyu msichana kamuweka mjini tu

Kumbe unajua kuwa msichana kawekwa mjini na jamaa, so ndio mali yake hivyo. Wewe ukijiweka hapo ina maana unamega mali ambazo mwanaume mwingine anahudumia; hasira yake ni mbaya sana, utaolewa kijana mjini hapa lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…