BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
ndugu yangu usifanye kosa la kukubali jufanya nae kazi kabisa...hapo she will have control ova u....ila bupa endelea kumega mwanawane wala usijivunge....akiileta wdwe isasambue tuu hiyo k yake.
Unamshauri amege tu mali za watu, na ile aliyotishiwa ni toy pistol ee?
b'real achana na huyo mwanamke, kikawaida wanaume wanaowahudumia sana wanawake wanatabia ya kuwa na wivu uliopitiliza na ukilinganisha ana moto asije kukufanya kama Padre wa Zanzibar hata kama hufi ila tayari cha moto utakuwa umekiona!!!
Jilaume wewe mwenyewe na mawenge yako ya ujana mpaka ukamkosa lakini saizi yupo himaya nyingine kabisa.
mmh! hapa nasubiria kusoma comment ya mzabzab tu
:becky::becky::becky::becky:
:A S 100::A S 100::A S 100::A S 100:amesema haendi kwan mkolon kambana.
khaa! wewe naona sasa umevuk mipaka lol!
nimekomajee mwali?? mi kimya kuanzia sasa.Umeyataka na wewe, wanaume wengine hawapigiwi mbiu
vipi wakuu,heshima
yenu,nisiwachoshe ni ingie kwenye point...kuna mdada nimiaka kama mitatu
tulishawai kuwa wapenzi,tukaa achana kikweli nilikuwa sija tulia ujana
ulikuwa unanisumbua tuka achana,ila mawasiliano yakawa kawaida,nikaenda
zangu mbali sana ila tanzania hii hi,akapata mpenzi Mwingeni japo ki
umri ni mkubwa kwake na ana mpa maisha yote,huyu dada aMekutana na mimi
mwezi ulio pita amedata anakuja kulala geto ananiambia ananipenda kule
alifata hela,amefungua tours anataaka nifanye nae kazi,naskia roho
inauma maana sometime niko nie geto jamaa anapiga simu
anadaganywa,mwanaume wake anajifanya mtemi ashawai wai kunikuta
nasalimiana na huyo mwanamke akanitolea bastola.JE NIMUACHE HUYU
MWANAMKE AU CSE NAMPENDA NA YEYE ANA NIPENDA NA UWAKIKA?
khaa! wewe naona sasa umevuk mipaka lol!
hahahahah lol! Chezeya mzabzab weye!!!! :horn::horn::horn:
imebidi nimwogope huyu anaweza kukubaka kwenye key board.