chriss mattar
Member
- Jan 16, 2013
- 10
- 1
kuna binti najibebea mzigo ila kanapenda kunitega anawapa rafki zake namba yangu ili wanitokee nashindwa nifanyeje.
Na wewe wape rafiki zako namba zake!!!!!
kuna binti najibebea mzigo ila kanapenda kunitega anawapa rafki zake namba yangu ili wanitokee nashindwa nifanyeje.
kuna binti najibebea mzigo ila kanapenda kunitega anawapa rafki zake namba yangu ili wanitokee nashindwa nifanyeje.
Ilindo linalo takiwa fanya sasa
...nipe namba yake, hatakufanyia hivyo tena.