Nawatakia jumapili njema wadau wote wa JF, Mnaoenda kanisani na tunaobaki home wote tuwe na siku njema. Leo nimeona nishee na nyinyi huu wimbo wa kikundi cha Pentatonix royals, mbarikiwe wotee [Official Video] Little Drummer Boy - Pentatonix - YouTube