Dagaa wanyama kutoka songea.

Dagaa wanyama kutoka songea.

Farudume12

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
621
Reaction score
352
Heshima kwenu wooote wana JF. Nimekuja kuwatangazia biashara yangu nimeianzisha kama miezi 2 iliopita. Nauza dagaa kutoka Songea, wengine wanawaita dagaa wanyama. Sifa zadagaa hawa kwanza kabisa wakishatoka ziwanj wanachemshwa, kisha wana anikwa. Hawana mchanga hata kidogo, unauwezo wakuwala bila hata kuwa unga mchuzi. Dagaa wanapatikana kwa bei ya jumla (10000 kilo) kwabei ya rejareja (13000) wote mnakaribishwa. Tunapatikana Dar es salam kimara mwisho. Ukihitaji kilo zaidi ya 2 unaletewa hadi kwako. Woote mnakaribishwa, kwa mawasiliano tupigia kwenye namba 0657469664 ao ni pm tuyajenge. Asanteni sana!
7f60a4281c75c97294876c40632b5ab1.jpg
98c767bf56100ced955b0ff2ec383a5f.jpg
 
Back
Top Bottom