Dagaa wa kukaaga toka Mwanza

Wameondolewa vichwa? Biashara ya dagaa inaweza panda chat sana kama wataondolewa vichwa.
 
Mi ni mtu wa Pwani na mpenzi wa samaki ile mbaya ila kula vidagaa kwa kweli sipendi, yaani hata kuwaona tu kwa macho siku yangu hainiendei vizuri. Mtu inabidi ule kitu huku uki-enjoy ila hivi vidagaa unakula unatafuna na mchanga pamoja na mawe, what the hell.
 
Wewe kama sio mzaramo basi Mkwere, mleta mada anazungumzia biashara ambayo inatumiwa na wengi hivyo anategemea kupata mwitikio wa wafanya biashara na sio walaji.
BTW leo ngoma ya kigodoro iko wapi? Huko najua ndio umebobea
 
We jamaa hauko serious kajiandae jipange vizuri ukiwa serious uje upost tena tumekupigia simu unajiuma uma tu...mara na mimi nachukua kwa mtu....mara vikaenda vikarudi ndio naanza........kua serious ukitaka kufanikiwa na sio unakua dalali ama kujaribu humu wanapita watu wako very serious na biashara.
 

Hili la kukosa u-serious si tatizo lako wewe tu, wengi humu hawako serious, so calm down buddy!
 
Sikia kaka mkubwa,humu ni sehemu tunayoongea mambo kwa uwazi na ukweli kabisa kwa nini nifiche fiche halafu siwezi kukuagiza gunia 5 wakati sijaona uwezo wako wa kunisupply hata debe 1 kaka,we kubali tu kurekebishwa na wala sina nia ya kukuchongea kwa yeyote cha msingi ni kujirekebisha na kujipanga vizuri wala hakuna majungu hapa majungu mnayo kule kwa watoto mitandao ya snapchat hapa ni great thinkers we think tank kabla ya lolote.Mwisho kumbuka hata mimi ni mwanaume tena rijali kwa hiyo sidhani kama nitaka kufundishwa uanaume,jipange ue serious na utafanikiwa.Soma pia mdau hapo kakutia moyo sio wewe tu humu ambae hauko serious.Tayari nimeshapata mtu ananitumia mzigo ni tayari nimeshaanza biashara napack vizuri na mzigo upo sokoni na watu wanaufurahia.Asante sana kwa mda wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…